Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Nijuavyo mimi, unaandika barua kwa kamishna general kuomba mapitio mapya ya assessments ya makadirio yako, muda huo huo unatakiwa kuwa umelipa theluth moja ya ulichokadiriwa then mkishindwana ndio mnapelekana Kwenye court of arbitration.
Mkuu umesoma mada vizuri kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, hii inauma sana.
Kumbe TRA ni mafala sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa kbsa kwetu ni kuwa hakunaga utaratibu maalum wa kulipa kodi. haya mambo ya kukadiriana ndo yaliyonifanya nifunge busness zangu. jamaa wa TRA ni wezi tu hawana lolote wanalojua.
 
Mkuu hawa TRA walaaniwe tu na roho zao mbaya.
Haya yalinikuta hata mimi kwenye kabiashara kangu. Kodi nilioamriwa kulipa na TRA biashara haina uwezo wa kuilipa. Hata baada ya kuandika barua upya TRA na kuomba kufanyiwa Assesment upya waligoma na kusema nilipe kiasi hikohiko.
Kwa vile ilikua haikuzidi milioni moja ikabidi niitafute nje ya biashara na kqenda kulipa hela yao.
Kilichofuata nikaandika barua ya kufunga biashara tu maana hakuna namna.
Kwa TRA ni bora wakose kabisa kuliko kukukadiria kodi inayoendana na mapato halisi ya biashara yako!

Mwenyezimungu atawalipa hapahapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.

Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.

Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kamanda. Wahusika wamekusikia
 
KUUNGA JUHUDI NDO KUMETUPELEKEA HAPO
 
kulikuwa na uwezo wa kwenda Kwingine penye unafuu zaidi . Hukuona hilo.

Kuna siku hawa washenzi Nilisafiri nao kwenda Arusha nikitokea Dodoma. Kama abiria wengine niliweka mzigo wangu wa viatu vyangu,mume wangu na wengine tena vilikua kwa ajili ya harusi. Sintosahau mwisho wa safari mzigo haukuwepo kwenye buti. Mpaka leo sikulipwa hata mia. Wakati mzigo wa kwenye buti ni dhamana yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh mlifunga harusi peku!?
ama na viatu vya kuazima
kweli jamaa coco
 
mkuu 5000 mbona nafuu sana, acha kulialia! kama vipi ungepanda basi ulipe nauli ili upeleke hiyo bahasha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…