Ramo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,818
- 1,824
Usilipe hata tsh 10, funga safari mpaka ofisi ya wazili moja kwa moja mbona simpo tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda twitter pale utawakuta andika kisha uwatag ili hili suala lijadilowe nationalwide. La sivyo ndugu, utapoteza.
Mkuu umesoma mada vizuri kweli?Nijuavyo mimi, unaandika barua kwa kamishna general kuomba mapitio mapya ya assessments ya makadirio yako, muda huo huo unatakiwa kuwa umelipa theluth moja ya ulichokadiriwa then mkishindwana ndio mnapelekana Kwenye court of arbitration.
Aisee, hii inauma sana.Mimi pia kampuni yangu ilianza hivi karibuni na mshauri wa kodi alinipigia hesabu ya laki 2 na 10 maana sikuwa nimeanza kuingiza kitu bado ila akanishauri nianze kulipa hiyo
TRA wameniletea 12.9 M sasanikawaambia waje ofisini maana ofisi ina laptop, modem, kiti, kimeza cha kufix ukutani, extension na feni
Ilibidi nicheke, wakaniambia nitud kwa mtaalamu wa hesabu kurekebisha, mtaalamu anataka laki 6 kurekebisha nikasema nyie wote mafala.
Nikaandika barua ya kukana hesabu zao, hawajajibu hadi leo na nimesha funga ofisi nafanya mchakato wa kufunga kampuni nijikite ktk biashara haramu.
Sent using COVID-19
Mkuu hawa TRA walaaniwe tu na roho zao mbaya.Pole ndg yangu. Fanya yafuatayo:
Mtafute wakili mzuri akushauri nini cha kufanya.
Pili, usijaribu kukata rufaa kwa hayo majizi ya TRA maana watakupotezea muda tu.
Tatu, hakikisha una copy ya mahesabu ya awali ya hiyo mil 5 uliyoisain ili uwe ushahidi kokote utakapohitajika au hata mahakamani.
Mwisho, usidhubutu kulipa kulipa kiwango chochote kile kilichoongezeka nje ya assessment ya awali. Hao wahuni wa TRA sio mwisho wa suluhu wa jambo hili. Ni mijitu tu yenye roho mbaya lakini ukweli sio msimamo wa Serikali hii.
Ikikupendeza ni PM nikupe some abc on how to go about this... bigmash,
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mlifunga harusi peku!?Kulikuwa na uwezo wa kwenda Kwingine penye unafuu zaidi . Hukuona hilo.
Kuna siku hawa washenzi Nilisafiri nao kwenda Arusha nikitokea Dodoma. Kama abiria wengine niliweka mzigo wangu wa viatu vyangu,mume wangu na wengine tena vilikua kwa ajili ya harusi.... Sintosahau mwisho wa safari mzigo haukuwepo kwenye buti.... Mpaka leo sikulipwa hata mia.. Wakati mzigo wa kwenye buti ni dhamana yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh Mbunge wetu wa GairoHuyo ni bepari na kila mwezi ana top officials ambao wako kwenye payroll yake
Jr[emoji769]