Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Tatizo sio wateja wote waaminifu...Unawezakuta kinasafirishwa kitu muhumu sana na kikipotea risk na gharama inakua zaidi ya iyo elfu 5...Na endapo bahasha ikipotea malalamiko yanakua makubwa sana..Vinginevyo Mkuu tafuta kwenye gharama nafuu
 
Ni washenzi sana...mi jana nimetumiwa kabahasha kadogo eti wamemchaji aliyetuma 10,000....sijawahi kuwa na hasira kiasi kile
 
Hakuna cha risk wala nini, hata kikipotea haulipwi. Inakula kwako tu.
Tatizo sio wateja wote waaminifu...Unawezakuta kinasafirishwa kitu muhumu sana na kikipotea risk na gharama inakua zaidi ya iyo elfu 5...Na endapo bahasha ikipotea malalamiko yanakua makubwa sana..Vinginevyo Mkuu tafuta kwenye gharama nafuu
 
5000 mbona ndogo hiyo mkuu,
Panda basi uipeleke km waona ni ghali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemshtaki Kipindi kibaya mno Ndugu kwani kwa mwaka huu wa 2020 hao ndiyo Wafadhili Wakuu wa anayekutawala Kikatiba.
 
Hakuna cha risk wala nini, hata kikipotea haulipwi. Inakula kwako tu.
Hapo ilipaswa ukilipia parcel upewe na risit kama ambavyo kampuni nyingine zinavyofanya..Ili mzigo ukipotea uweze kudai haki yako..Vinginevyo wanasafirisha kiholela
 
Kuhusu bei ya sh 5000 kwa bahasha naona ni fair kwa upande wa usafirishaji wa parcel kwa mabasi, as nimeona hivi karibuni mabasi mengi yanakomalia sh 10,000 kwa bahasha. Labda hapo kwenye kipengere cha risiti ya EFD basi watoza ushuru naamini wamekusikia.
Pole madam uliyepoteza begi la vyenzo za arusi na kuambulia patupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ilipaswa ukilipia parcel upewe na risit kama ambavyo kampuni nyingine zinavyofanya..Ili mzigo ukipotea uweze kudai haki yako..Vinginevyo wanasafirisha kiholela
Risiti unapewa vizuri tu, ila mzigo ukipotea utahangaika wee na mwisho hulipwi.
 
Kuna mtu kanipa sehemu nafuu ya kutuma parcel kuwa ni Mwananchi kitengo cha kusafirisha mizigo je unalijua hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu angalia muda uliyotumiwa au tuma...

Siyo kulalamika tu,ungetuma ems ungelipa kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…