Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh mlifunga harusi peku!?
ama na viatu vya kuazima
kweli jamaa coco
Ni washenzi sana...mi jana nimetumiwa kabahasha kadogo eti wamemchaji aliyetuma 10,000....sijawahi kuwa na hasira kiasi kileNimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio wateja wote waaminifu...Unawezakuta kinasafirishwa kitu muhumu sana na kikipotea risk na gharama inakua zaidi ya iyo elfu 5...Na endapo bahasha ikipotea malalamiko yanakua makubwa sana..Vinginevyo Mkuu tafuta kwenye gharama nafuu
5000 mbona ndogo hiyo mkuu,Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ilipaswa ukilipia parcel upewe na risit kama ambavyo kampuni nyingine zinavyofanya..Ili mzigo ukipotea uweze kudai haki yako..Vinginevyo wanasafirisha kiholelaHakuna cha risk wala nini, hata kikipotea haulipwi. Inakula kwako tu.
Msinda Hani?Mh Mbunge wetu wa Gairo
Risiti unapewa vizuri tu, ila mzigo ukipotea utahangaika wee na mwisho hulipwi.Hapo ilipaswa ukilipia parcel upewe na risit kama ambavyo kampuni nyingine zinavyofanya..Ili mzigo ukipotea uweze kudai haki yako..Vinginevyo wanasafirisha kiholela
5000 kwako ndogo sio hayamkuu 5000 mbona nafuu sana, acha kulialia! kama vipi ungepanda basi ulipe nauli ili upeleke hiyo bahasha mwenyewe
Kuna mtu kanipa sehemu nafuu ya kutuma parcel kuwa ni Mwananchi kitengo cha kusafirisha mizigo je unalijua hili.Kuhusu bei ya sh 5000 kwa bahasha naona ni fair kwa upande wa usafirishaji wa parcel kwa mabasi, as nimeona hivi karibuni mabasi mengi yanakomalia sh 10,000 kwa bahasha. Labda hapo kwenye kipengere cha risiti ya EFD basi watoza ushuru naamini wamekusikia.
Pole madam uliyepoteza begi la vyenzo za arusi na kuambulia patupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti ya kutuma barua na kutuma parcel mimi nilikuwa natuma barua ambayo hata ningekukuta unaenda Dodoma ungeichukua na kuiweka mfukoni tu.5000 mbona ni Bei ya kawaida sana kwenye kutuma Parcel.
Anaogopwa na wasimamizi wa barabara DomMoroRufiji dam,
Huyo ni bepari na kila mwezi ana top officials ambao wako kwenye payroll yake
Jr[emoji769]
Basi ungempa tu mtu mkononi. Ulitaka ulipe sh ngapi ?Kuna tofauti ya kutuma barua na kutuma parcel mimi nilikuwa natuma barua ambayo hata ningekukuta unaenda Dodoma ungeichukua na kuiweka mfukoni tu.
Sent using Jamii Forums mobile app