Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Hao waendesha mnada hawachanganyi na za kwao?
Wanategemea computer (mtandao) tu?
Walipoona huo mruko kutoka 5.5m/= hadi 57m/= walitakiwa kuingilia kati
 
TRA au unasemea watu wengine?
 
Hivi kunakuwa na kiingilio kabla ya kubid au ni kichaa yeyote anaweza kusign up na kubid
Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
 
Duh kumbe jamaa kavaa msala..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani gari mpya ya aina kama hiu (bila kodi) inakuwa bei gani?
 
Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
Duh basi kama ni hivyo, pole yake sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
Yaani alazimishwe kununua Noah chakavu kwa milioni 57
 
Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
aisee
 
Nani kamlazimisha...
Yeye mwenyewe kwa akili zake timamu bila shuruti kajiandikisha kwenye page ya mnada ambayo kabla ya kujisajiri kuna Vigezo na Masharti unakubaliana navyo. Akaingia page ya mnada akabidi 57 Mil mkosaji nani hapo.
Natamani kujua hatima yake huyu bwana itaishia vipi.?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kamlazimisha...
Yeye mwenyewe kwa akili zake timamu bila shuruti kajiandikisha kwenye page ya mnada ambayo kabla ya kujisajiri kuna Vigezo na Masharti unakubaliana navyo. Akaingia page ya mnada akabidi 57 Mil mkosaji nani hapo.
Anaweza kutetea typing error, ashawishi kulipa 6.2m (dau ambalo halikufikiwa na bider yeyote)
ikiangaliwa time alifloat bid na trend (momentum) at that particular moment plus typing error anaweza kuhurumiwa.
 
Back
Top Bottom