Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao waendesha mnada hawachanganyi na za kwao?
Wanategemea computer (mtandao) tu?
Walipoona huo mruko kutoka 5.5m/= hadi 57m/= walitakiwa kuingilia kati
Unasign up tu kwa kuweka TIN Number yako, majina na email unakuwa umemaliza.Hivi kunakuwa na kiingilio kabla ya kubid au ni kichaa yeyote anaweza kusign up na kubid
Watakuwa wanaiachia System tu ijiendeshe.Hao waendesha mnada hawachanganyi na za kwao?
Wanategemea computer (mtandao) tu?
Walipoona huo mruko kutoka 5.5m/= hadi 57m/= walitakiwa kuingilia kati
Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.Hivi kunakuwa na kiingilio kabla ya kubid au ni kichaa yeyote anaweza kusign up na kubid
Duh kumbe jamaa kavaa msala..Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
Duh basi kama ni hivyo, pole yake sana..Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
Yaaa huyo pona pona yake awahi kwa Kamishna ajieleze vinginevyo ATALIPA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mwenyewe ulitubania mbona hujaleta taarifa za huo mnada hapa mapema ili tunufaike wote mura
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani alazimishwe kununua Noah chakavu kwa milioni 57Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
aiseeKiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
😂 😂 😂 😂 😂Naona alidhani Landcruiser V8
Nani kamlazimisha...Yaani alazimishwe kununua Noah chakavu kwa milioni 57
Natamani kujua hatima yake huyu bwana itaishia vipi.?!Nani kamlazimisha...
Yeye mwenyewe kwa akili zake timamu bila shuruti kajiandikisha kwenye page ya mnada ambayo kabla ya kujisajiri kuna Vigezo na Masharti unakubaliana navyo. Akaingia page ya mnada akabidi 57 Mil mkosaji nani hapo.
Anaweza kutetea typing error, ashawishi kulipa 6.2m (dau ambalo halikufikiwa na bider yeyote)Nani kamlazimisha...
Yeye mwenyewe kwa akili zake timamu bila shuruti kajiandikisha kwenye page ya mnada ambayo kabla ya kujisajiri kuna Vigezo na Masharti unakubaliana navyo. Akaingia page ya mnada akabidi 57 Mil mkosaji nani hapo.