Uzi maalum wa wanywaji pombe

Nawaona tu mnavyotamba,ngoja na mie nianzishe uzi wa watumiaji wa sigara kubwa ili twende sawa
Ukianzisha ni tag puliziiii. hahahaha
Mzima lakini?

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
binafsi km mtoto wa kike ambae najinunuliaga pombe, nimeshagundua ina faida kubwa kwenye productivity yako ya kila tu pale tu utakapojua ni aina gani ya pombe inafaa lifestyle yako. mfano: km ww ni mkurugenzi au kiongoz lkn mlevi bac k-vant inakufaa. ..km n mpiga debe au dalali kilevi chako n konyagi, km unapenda kufanya kazi huku uko high bac valuer inakufaa, km n mla bata kama bosslady hapa basi ni mwendo wa dompo tu
 
Lol.... hukosi vituko Auntiie weweeee.
Sema jamaa alitisha sana akili za utoto zikamrudia hahaha.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Ndo ujiandae hiyo siku tukatambae..
Jamani mie sijawahi lewa nisijitambue, pombe zikinizidi naumwa naishia kutapika.



hahhaah cant wait demi ! mie sijui ilikuwaje mbeya.. nimeenda harusin na rafk angu yaan tulilewa na nikakamata usukan tunaingia tu getin hatukushuka! tukalala mle! na vile heka heka za harus hakuna aliyejua tupo kwa gari! siku ile mie nilizima!... ukuje tu!
 
Usijali mydear..soon!
 

Wewe aseeh very sad, ...kweli pombe sio chai,ila mi nachjua ukiendesha chombo cha motor ukiwa umelewa, ajali ua ni nje nje,.. Kwa sabab ukikanyaga mafuta ua unadhan ndo brake,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…