mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,390
Silipi, bar zangu ninazokunywa wanalijua Hilo na nikilewa sana sitoi hela mpaka kesho yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silipi, bar zangu ninazokunywa wanalijua Hilo na nikilewa sana sitoi hela mpaka kesho yake.
Kumbe wewe unazungumzia wanywaji na si walevi, ukiweka walevi nitakujaHivi mtu unaweza kunywa pombe, na kusahau njia ya ya kurudi kwenu. Au uanguke njiani na kupoteza mwelekeo. Unafikia mpaka kulala fofofoo njiani, hii inawezekana kweli au makusudi. Wana lao jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
hii bila shaka ni arusha. ...maana ndo wana huu ujinga![]()
-Ndumilakuwili-
Ukianzisha ni tag puliziiii. hahahahaNawaona tu mnavyotamba,ngoja na mie nianzishe uzi wa watumiaji wa sigara kubwa ili twende sawa
Mbona hujanishtua best ako wa faida jamani.samahan weita ongeza glass, acha nilewe nilewe tu
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Lol.... hukosi vituko Auntiie weweeee.Kuna jamaa alikutwa amelala chumbani kwa watu Oyterbay, jamaa anakoroma, watoto ilibidi wawaambie wazazi wao, wazazi wamekuja waliamua kuhamisha watoto wakamuwacha jamaa alale tena yuko na boxer kama kwake.
Asubuhi wanamuuliza umefikaje hapa, kumbe jamaa aliishi nyumba ile akiwa mtoto na alizaliwa hapo enzi za Nyerere. Alikwenda kwenye party maeneo baada ya pombe kukolea na kuona ile nyumba akili za utotoni zilirudi kuwa pale ni home.
Ndo ujiandae hiyo siku tukatambae..
Jamani mie sijawahi lewa nisijitambue, pombe zikinizidi naumwa naishia kutapika.
Usijali mydear..soon!hahhaah cant wait demi ! mie sijui ilikuwaje mbeya.. nimeenda harusin na rafk angu yaan tulilewa na nikakamata usukan tunaingia tu getin hatukushuka! tukalala mle! na vile heka heka za harus hakuna aliyejua tupo kwa gari! siku ile mie nilizima!... ukuje tu!
....Miaka kadhaa iliyopita kuna jamaa mmoja alikuja from DSM kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kura za maoni wilayani Kilwa kupitia chama chama kimoja kikongwe. Baada ya mchuano mkali jamaa kura zikawa hazikutosha, akaamua kwenda kupata monde apunguze machungu; hivyo akapiga konyagi za kutosha (inasemekana ndiyo kinywaji chake).
Jamaa alikuwa amefikia Guest moja maarufu tu pale Kilwa Masoko (MJAKA GUEST HOUSE), sasa baada ya kupiga bapa za kutosha akaingia kwenye gari lake kurudi guest, aisee badala ya kukunja kuingia guest (iko pembeni ya barabara) jamaa akanyoosha moja kwa moja akaingia bandarini (kulikuwa hakuna geti enzi hizo, kuna kamba tuu) moja kwa moja mpaka kwenye deck ya meli akatumbukia baharini, na mauti yakamkuta hapo hapo.
nlkuw sijui kama unatmia haya mamboMbona hujanishtua best ako wa faida jamani.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]Mhudumu ongeza glass hapa [emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaahnlkuw sijui kama unatmia haya mambo
Sent from my Android phone
Ugonjwa Wa kisukari umemuharibu ngoziNadhani anaongelea...Augustine Lyatonga Mrema....waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu waziri Mkuu, wa Serikali ya awmu ya pili.....Kwasasa ni M/K wa Bodi ya Parole
-Domhome-
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sijui yani hta kama kulikuwa na ugomvi...ila asubuhi yake nilikuta pei imeisha nimebaki elf mbili mia sita labda jamaa alinisachi...