a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
Kwa wenye imani inayofanana na ya kwangu.
Wanangu nimewawekea cartoon za series za superbook (bible story).
Pia nimewafundisha kutoangalia cartoons za kidunia mfano hizi za super heros batman,superman,spider man kwa imani yangu na ushuhuda nilioupata toka kwa watu waliopata ufunuo wa kiroho.
Characters wengi wanao onekana ktk katuni ni mapepo au majini halisi ya kuzimu,ikiwemo father chrismas,na wana ajenda ya kushambulia maisha ya kiroho ya funs wanaoangalia.Ni kama kishiriki ibada za kipepo/kipagani za kizimu.Hii inahusiha hata sinema movies na miziki hizi za kidunia ni ibada kamili ya kizimu,kuziangalia na kuzisikiliza unakaribisha au unafungua mlango wa kupata mashambulizi na laana kutoka ufalme wa giza.Na hata zile drama tamthilia.
Japo zinaweza zikaonekana decent sana kama ni za kuvutia ila nyuma ya pazia zina ajenda ya siri na maudhui yasiyomazuri maana nyingine mbaya tofauti na maana inayofikiriwa kijuu juu.
TV na simu,internate au utandawazi kwa ujumla inaweza ikawa ni kitu kibaya laana na ikitumiwa vizuri inaweza ikawa baraka.
USHAURI
1)waangalie na kusikiliza na kucheza vyenye maudhui yanayompendeza Mungu.Mana TV internate inaweza ikawa mwalimu mbaya kwa jamii.Wakajifunza mabaya bila kujua.Wazazi wengine wanawapa simu na internate watoto wao?
2)Waangalie na kusikiliza vinavyofundisha maarifa mema ya masomo elimu njema maarifa ya sayansi,mazingira ,masomo yao n.k
Pia Tv na internate au games hua zina uraibu addictions inabidi muongozo wa wazazi ili wawe na KIASI.