Uzi Maalum: Wazazi tujuzane games na cartoons zisizofaa kwa Watoto wetu ili tuwalinde na kuwasaidia

Uzi Maalum: Wazazi tujuzane games na cartoons zisizofaa kwa Watoto wetu ili tuwalinde na kuwasaidia

Kwa wenye imani inayofanana na ya kwangu.
Wanangu nimewawekea cartoon za series za superbook (bible story).
Pia nimewafundisha kutoangalia cartoons za kidunia mfano hizi za super heros batman,superman,spider man kwa imani yangu na ushuhuda nilioupata toka kwa watu waliopata ufunuo wa kiroho.
Characters wengi wanao onekana ktk katuni ni mapepo au majini halisi ya kuzimu,ikiwemo father chrismas,na wana ajenda ya kushambulia maisha ya kiroho ya funs wanaoangalia.Ni kama kishiriki ibada za kipepo/kipagani za kizimu.Hii inahusiha hata sinema movies na miziki hizi za kidunia ni ibada kamili ya kizimu,kuziangalia na kuzisikiliza unakaribisha au unafungua mlango wa kupata mashambulizi na laana kutoka ufalme wa giza.Na hata zile drama tamthilia.
Japo zinaweza zikaonekana decent sana kama ni za kuvutia ila nyuma ya pazia zina ajenda ya siri na maudhui yasiyomazuri maana nyingine mbaya tofauti na maana inayofikiriwa kijuu juu.
TV na simu,internate au utandawazi kwa ujumla inaweza ikawa ni kitu kibaya laana na ikitumiwa vizuri inaweza ikawa baraka.
USHAURI
1)waangalie na kusikiliza na kucheza vyenye maudhui yanayompendeza Mungu.Mana TV internate inaweza ikawa mwalimu mbaya kwa jamii.Wakajifunza mabaya bila kujua.Wazazi wengine wanawapa simu na internate watoto wao?
2)Waangalie na kusikiliza vinavyofundisha maarifa mema ya masomo elimu njema maarifa ya sayansi,mazingira ,masomo yao n.k
Pia Tv na internate au games hua zina uraibu addictions inabidi muongozo wa wazazi ili wawe na KIASI.
 
Leo nimekaa nimewaza sana kuna games watoto wetu wanacheza siku hizi ila nyingi zina hatari sana. Games nyingi siku hizi wanacheza online na zinawakutanisha na watu wasio wajua kabisa. Hii ni hatari sana

Lakini pia siku hizi haya hizi games na cartoons zimekuwa na maudhuni ya ajabu mengi yakilenga masuala ya LGBTQ pamoja na maudhui mengi sana yasiyofaa kwa Watoto kwa umri wao.

Mfano nasikia kuna hii game inaitwa Roblox ambalo pamoja na utamu wake ni game la rika zote na watoto huku wanachati sana na watu wasiowajua (third party) kitu ambacho mtoto anakuwa kwenye hatari sana.

View attachment 3135620

Najua ni vema kuongea na watoto na kuwaelimisha kwa masuala anuai yanayotokea kwenye jamii kwa sasa lakini Wazazi kwa namna moja au nyingine hatuji hizi games na cartoons wanazoangalia Watoto wetu.

Wazazi njoo hapa tujaribu kuelezeana games na cartoons ambazo ni hatari kwa watoto wetu na hatari zake ili tuweze kusaidia na kuwajenga Watoto

Asante kwa kuanzisha uzi huu.
 
Game haliwezi kuhusu masomo hilo sio game, game ni game kwa kuburudisha akili na mosomo ni masomo kuonheza maarifa.
Kuna jamaa mwanaye anacheza sana game ya mpira.

Halafu utamkuta anakutamkia kimasihara tu mwanangu humfungi! Halafu na mke wake anamuunga mkono kweli mwanetu humfungi.

Ila dogo anacheza game balaa! Kuaibishwa nje nje yaani!
 
mimi napenda kuwawekea channel ya fix and fox kuna moja inaitwa eena meena and deeka hata mm lazima nikae tuangalie in case kifurush kimekata wanapambana na hao akili kila jumamos na jpili asbh kuanzia saa tatu tunaenda chanel ten wanaangalia katuni ya baraka na kijiti cha matumaini nikiona wamezoea hawana cha kufanha wapo idle nawawekea their favourite animation movie inaitwa moanna hii tunaangalia hata mara elf moja hawaichoki mwenyewe hua nashindwa kuifuta so nimewaongezea na tom and jerry into a snowlandman, the bad guy na klaus yan hapo situmi mtu hata maji ya kunywa.
Vilevile kama ana smart TV anaweza akaingia kwenye My Apps wameweka cartoon za watoto nyingi atachagua zinazomfaa na kuangalia.
 
Back
Top Bottom