Si faida kwa Bukinabe sasa!Kwa hali ilivyo ana hali mbaya.
Wanapata kona Dakika ya 6 hii.
Inapigwa hapa kipa ana panchi...
Kuna tukio linatokea hapa watu wadai tuta.
Nimempenda huyu Waleo hatoi penalty kiwaki anataka wachezaji wakaze sio kujiangishaangushaRefa amekataa
Angekuwepo wangemuonesha waandishi tena! Atakua Qatar labdaKuna kikundi cha wa Burkinabe pale juu.
Sijui Hamisa atakuwepo? Au yupo Qatar
kuwa mpole,tuendelee!Vipi mdau?
Wachovu wana heza...hii mechi ya mairitania na burkina utaka ata kulala jameni. Mpira hauna kasi, kucontrol mpira tabu...hawa walifikaje huku?Game za Leo
August 13
17:00 – Madagascar 🇲🇬 vs 🇨🇫 Central African Republic
20:00 – Mauritania 🇲🇷 vs 🇧🇫 Burkina Faso
Nani akaangaloe wachovu wanacheza bwana...mpira wa hovyo kabisa.Uwanja uko waziiiiiiii dah!!