Sudan jana kamnyoosha Nigeria 4 kavu duuh basi tukikutana na Nigeria tunapiga 10
Nigeria walikufa vibaya sana jana.Hapo kwa sudan vs nigeria nani yuko vizuri?
.View attachment 3440212
Game inayofuata itakuwa kali sana
Hata zanzibar wanatuzidiLeo uwanja umepoa sana