Nilikuwa nafikiri team zinakuwa 8 kwenda robo na kila group zitatoka 2, kama kundi hili itatoka moja kwa hio kuna kundi litatoa 3, au wataangalia best looser?Timu zao chache.
Timu mbili zitaungana kucheza na Taifa StarsNilikuwa nafikiri team zinakuwa 8 kwenda robo na kila group zitatoka 2, kama kundi hili itatoka moja kwa hio kuna kundi litatoa 3, au wataangalia best looser?
Hee kumbe!!! Kwanini sasa wakati ni mambo za kushangilia tu !!Mkapa hawaruhusu kuingia na vuvuzela
Leo nipo half half !Uko nao?
Offside etiCounter attack nzuri