Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Goooooooooooal
Sudaaaaaan
Chumaaaaaaa
2-0
 
😁😁😁😁 waangalie asijinyonge

Mr. Ngenge
 
Kipindi cha pili kinaanza.
Nigeria wanafanya mabadiliko matatu
 
Ngenge amefanyiwa Sub hali haikuwa poa kabisa kwake
 
Sudan wakirudi wanaweza wajawaongeza,labda Ngenge atoke,maana kashapagawa akirudi atataka kufosi mambo matokeo yake ajipige tena,anacheza kimamlukimluki sana.
Kapagawa vibaya sana solution ni kumtoa tu kama kocha alivofanya
 
Kapagawa vibaya sana solution ni kumtoa tu kama kocha alivofanya
😆 😄 😄 ponepond yake,aende nje ya uwanja kabisa,atakua anaumia sana kuona wenzake wanajitutumua kusawazisha makosa aliyoyaanzisha,maskini Ngenge.
 
Hapo ndo wamemuua kisaikolojia kabisa,atateseka sana kichwani huyo Ngenge the goal owner.
Yeah siku ataiona chungu sana kwake kumsaidia wasimlaumu wachukulie kawaida tu it sometimes happen si kwa kupenda
 
😆 😄 😄 ponepond yake,aende nje ya uwanja kabisa,atakua anaumia sana kuona wenzake wanajitutumua kusawazisha makosa aliyoyaanzisha,maskini Ngenge.
Wamepigwa cha 3
 
Back
Top Bottom