Hapo Washawatocha Nigeria kiakili no wayGoooooooal
Chuma cha 3
Hapo Washawatocha Nigeria kiakili no wayGoooooooal
Chuma cha 3
Wamepigwa cha 4Hapa inaonekana kabisa walio juu watabaki kuwa juu
View attachment 3439409
Daah kweli Nigeria kapatikanaWamepigwa cha 4
Yaani hapo ndipo huwa nashangaa.Wako vizuri licha ya kutokuwepo utulivu kwao4-0
Tukumbuke hawa watu wako kwenye vita zaidi ya miaka 2 sasa
Mkuu mbona unaikosea maana hii Sentensi Game On...59'
Sudan 3
Nigeria 0
Game on....
Sudan wanapata kona