AHAS
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 803
- 1,385
Uganda hatakiwi hata kukubali sare maana Algeria alimpasua Uganda 3Kazi kweli kweli.
A must win game
na South Africa Naye sio mtu mzuri
Uganda hatakiwi hata kukubali sare maana Algeria alimpasua Uganda 3Kazi kweli kweli.
A must win game
45000Nambole inaingiza watu wangapi?
Ni full house
Niger hamna timu hapo. Puuuua kabisa 😂🤣😂Naona kama hawana bahati tu
Uganda mechi ya mwisho yupo na Msauzi kazi ipo
Uganda apite ili mashindano yaendelee kuwa na mvuto. Ana uwezo wa kumfunga Msouth vizuri tu. Msouth kaja kushiriki siyo kushindana.Kazi kweli kweli.
A must win game
Uganda apite ili mashindano yaendelee kuwa na mvuto. Ana uwezo wa kumfunga Msouth vizuri tu. Msouth kaja
Usiwachukulie Africa kusini poa Algeria almanusra apasukeUganda apite ili mashindano yaendelee kuwa na mvuto. Ana uwezo wa kumfunga Msouth vizuri tu. Msouth kaja kushiriki siyo kushindana.
Sikucheki game ila labda Algeria waliwaogopa kwa sababu ya jinaUsiwachukulie Africa kusini poa Algeria almanusra apasuke
Mambo mengi na mashindano mengi, wameona hii vita waachane nayo. Wachezaji siyo mashine. Halafu ligi yao imeanza kwa hiyo mbele huko ratiba za msimu hazitawasumbua.Wamechukulia poa.
Inamaana kwao 3.4b sio kitu kabisa
Wameana ligi mapema.Mambo mengi na mashindano mengi, wameona hii vita waachane nayo. Wachezaji siyo mashine. Halafu ligi yao imeanza kwa hiyo mbele huko ratiba za msimu hazitawasumbua.
Nilitaka kusema hata Morocco pia ingawa nadhani wameokotaokota wa Wydad, As Far, Raja na Berkane ila siyo kivile.Wameana ligi mapema.
Lakini naona hata wachezaji wengi wa Wydad hawajajoin National team.
Kina Amrabat au hajawa na sifa?
Morocco wapo serious mpaka top scorer wa league yao yupo kikosiniWameana ligi mapema.
Lakini naona hata wachezaji wengi wa Wydad hawajajoin National team.
Kina Amrabat au hajawa na sifa?
wametuzidi niniTanz tutamfunga nani kati ya Kenya n ug mbona kama wametuzidi mno