Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Mashindano madogo haya. Ni sisi tu tunajitutumua nayo. Tungewapa wachezaji wapya nafasi labda tungeweza kugundua vipaji vipya
Sisi lazima tujitutumue.
Kujenga awareness kwa mashabiki.
2027 tuna AFCON
 
AFCON hauwezi kufananisha na haya na ni miaka 2 kutoka sasa.
Yana impact sana.
Ni kama Hatuchezi ya Utopolo ilivyoharibu hii CHAN.
Imeshusha kabisa morale ya watanzania.

Sasa usipokomaa na CHAN una nini kingine?
Unaona Kenya wanavyokomaa unafikiri ni bure tu.?
Ni mbinu hizo wako strategic sana.
 
Sisi lazima tujitutumue.
Kujenga awareness kwa mashabiki.
2027 tuna AFCON
Tujifunze kwa mataifa kama Senegal, Ghana na Guinea. Wanafungulia vijana nafasi muda wote na ndiyo maana hawakaukiwi wachezaji wazuri. Sisi mpaka leo tunategemea kina Kapombe, Zimbwe na Msuva.
 
Yana impact sana.
Ni kama Hatuchezi ya Utopolo ilivyoharibu hii CHAN.
Imeshusha kabisa morale ya watanzania.

Sasa usipokomaa na CHAN una nini kingine?
Unaona Kenya wanavyokomaa unafikiri ni bure tu.?
Ni mbinu hizo wako strategic sana.
Tujifunze kwa mataifa kama Senegal, Ghana na Guinea. Wanafungulia vijana nafasi muda wote na ndiyo maana hawakaukiwi wachezaji wazuri. Sisi mpaka leo tunategemea kina Kapombe, Zimbwe na Msuva.
 
Yana impact sana.
Ni kama Hatuchezi ya Utopolo ilivyoharibu hii CHAN.
Imeshusha kabisa morale ya watanzania.

Sasa usipokomaa na CHAN una nini kingine?
Unaona Kenya wanavyokomaa unafikiri ni bure tu.?
Ni mbinu hizo wako strategic sana.
Ikitokea yakadoda ni kwa sababu ya maamuzi ya hovyo kujenga viwanja sehemu zisizo na mwamko kama Arusha na Dodoma na kuziacha zile zenye asili ya mpira kama Mwanza na Mbeya.

Kingine kitakachoyafanya yadode ni kama siasa ikiendelea kulazimishwa katika michezo.
 
Sahihi
 
Naona game inakaribia kuisha.
90'
South 2
Guinea 1
Game On...
 
South Africa wangetoka tu kwenye mashindano. Sidhani kama hata wanayajali sana haya mashindano. Guinea angepita ingekuwa bora zaidi kuliko wao maana wana wachezaji vijana wenye uchu, wanakosa tu uzoefu na wanacheza kitimu.
 
Mashindano madogo haya. Ni sisi tu tunajitutumua nayo. Tungewapa wachezaji wapya nafasi labda tungeweza kugundua vipaji vipya
😃Waandazi tena alafu wayadharau kaka!? Apo ni kama kipimo tu cha timu ya taifa maana asilimia kubwa ya wachezaj hawa ndo walewale wanaocheza afcon
 
Siyo kipimo sahihi. Nchi nyingi zimeleta vikosi B na C ila AFCON wanaleta vyuma vyenyewe. Sisi tutabaki kuwategemea wastaafu wetu hawahawa miaka 2 ijayo maana hatuonyeshi mpango wa kuwaibua wachezaji wapya.
 
1000234410.jpg
 
Nambole inaingiza watu wangapi?
Ni full house
 
05'
Uganda 0
Niger 0
Mpira unaendelea
 
Back
Top Bottom