Maema galasa au sio?Wasouth wamedharau sana hili kombe players wote wa maana wamewaacha wakaamua kuleta magarasa yote akiwepo usajili mpya wa fulani[emoji2]
Tapeli tu uyoMaema galasa au sio?
Makolo wametapeliwa wapi na katia saini tayari?Tapeli tu uyo
Kijana Micky Jnr anasema uyo Doto magari kasaini kwa wana Lunyasi sema wanasubiri Chan iishe wamtambulishe rasmi namimi nimeamin ivyo japo ni 50/50Makolo wametapeliwa wapi na katia saini tayari?
Ndio ameshasaini tayari sio tetesi ni kweliKijana Micky Jnr anasema uyo Doto magari kasaini kwa wana Lunyasi sema wanasubiri Chan iishe wamtambulishe rasmi namimi nimeamin ivyo japo ni 50/50
Iyo alama ya kuuliza imenipoteza, acha tusubiri ligi ianze matusi yaanze tenaNdio ameshasaini tayari sio tetesi ni kweli
South 2South kazidiwa?
Kundi gumu hili
Mashindano madogo haya. Ni sisi tu tunajitutumua nayo. Tungewapa wachezaji wapya nafasi labda tungeweza kugundua vipaji vipyaWasouth wamedharau sana hili kombe players wote wa maana wamewaacha wakaamua kuleta magarasa yote akiwepo usajili mpya wa fulani[emoji2]