Ni balaa, halafu match ya mwisho ni Zambia na KenyaView attachment 3437731
Group gumu Zambia hoi
Kabisa, Angola akishinda hii game ana nafasi,Kenya akikosa ushindi basi aambulie sare la sivyo anaweza jikuta ana wakati mgumu
Hapana wana nafasi, wamfunge kenya na morocco halafu congo atoe sare na moroco na angolaZambia akipoteza hii, amepotea mazima
Labda ndugu zako wewe mwenyeweWatatupa challenge nzuri.
Kenya na sisi ni ndugu wenye visa.
Uganda ni ndugu zetu tunaopendana.
Kundi lingine gumu ni hili