Hautaki kuambiwa ukweliChuki zenu za Kisiasa zibakie huko huko kwenye Chama chenu cha Siasa
Nimesema hapo juu, kipa mzuri sana. Hata game za nyuma amecheza vizuriKipa Man of the Match
Natamani tukutane na hawa wehu hatua yoyote ile tuwashone midomoWataongea sana 😀😀
Kujipa moyo ni jambo jema sana. Lakini, Je, ni kweli hakuna mpinzani wa kutuzuia tusichukue kombe?Bingwa Tanzania ndio hio inajulikana mpaka sasa hakuna mpinzani wa kutuzuia tusichukue Kombe
Hao ni kama ccm wanaona wanauhalali wa kila jambo.Kujipa moyo ni jambo jema sana. Lakini, Je, ni kweli hakuna mpinzani wa kutuzuia tusichukue kombe?
Walihaidiwa 10m hii matchFaida yakufundishwa na mtu mkubwa.