Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
DakikaMuwe mnaleta updates tafadhali
80' Kenya wanaongoza 1 kwa 0
DakikaMuwe mnaleta updates tafadhali
Bingwa Tanzania ndio hio inajulikana mpaka sasa hakuna mpinzani wa kutuzuia tusichukue KombeHapa tushindwe wenyewe Tanzania bingwa
Tutapambana mkuuSio kazi ndogo mkuu
Bingwa Tanzania kwani Uongo? Sijaona timu ya kuikamia Stars km Madagascar na Madagascar tumewachapaTutapambana mkuu
Wenzetu wanatumia mashindano haya kuwapa nafasi wachezaji wao ambao huwa hawapati nafasi timu ya taifa. Morocco timu ya taifa ile yenyewe wachezaji wa ndani huwa hawazidi wawili na hapo naongelea hata wale wa akiba. Sisi tunawatumia wazee wale wale kila siku hatuwapi wengine nafasi ya kukua na kuonekana.Morocco jina kubwa tu hakuna wanachocheza wangekutana na Madagascar hawa wangechezea nyingi sana
Kukosa vipi?Afcon Tutakosa Opening na final
Ndio tunawachapa ili tuchukue kikombe na haohao Wazee ila Kikombe tumechukuaWenzetu wanatumia mashindano haya kuwapa nafasi wachezaji wao ambao huwa hawapati nafasi timu ya taifa. Morocco timu ya taifa ile yenyewe wachezaji wa ndani huwa hawazidi wawili na hapo naongelea hata wale wa akiba. Sisi tunawatumia wazee wale wale kila siku hatuwapi wengine nafasi ya kukua na kuonekana.
Hakuna wa kutuheenyesha km Madagascar sijaona game zote nimeangalia Madagascar wazuri sana japo kua tumewafunga ila ni wazuri sana mpira wanachezaKwa Uganda na Algeria tutahenya sana