Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Daaaaah hawa Wakenya wako serious sana. Wanajaa uwanjani, wanashangilia kwa nguvu na mpira wanapiga wa maana sana
Huwa tunaaminishwa Wakenya wanabaguana na hawana umoja ila ona uwanjani wanavyoshangilia kwa style tofauti tofauti kwa umoja. Na hapo walikuwa wamefungiwa kwa muda mrefu mashindano ya kimataifa.
 
Benni Mccarthy ana kazi ya kufanya kwenye eneo la discipline ya wachezaji wake. Hii ni mechi ya pili consecutively wanaenda HT wakiwa pungufu. Last time walilinda draw vs Angola, leo wanahitaji kulinda ushindi vs Morocco. Ngoja tuone!
 
Kenya hawawezi kushika bomba kwa dakika zote zilizobaki. Wangekuwa na ufanisi mbele ili Morocco wasiwe huru kuwasogelea. Wanapoteza mpira kirahisi
 
Back
Top Bottom