Subiri tuone kama kitatimia nilichosemaKenya wanaweza kushinda
Naona maandalizi hasa ni Afcon 2027Timu karibia zote.
Zina Vijana.
Uganda nao vijana wadogo sana
Morocco jina kubwa tu ila mpira hawana kabisaHahahh waarabu leo hoi
Hata ligi yao ya ndani tu imeshuka sana.Morocco jina kubwa tu hakuna wanachocheza wangekutana na Madagascar hawa wangechezea nyingi sana
Ila wabongoMorocco jina kubwa tu hakuna wanachocheza wangekutana na Madagascar hawa wangechezea nyingi sana
Siyo zote. Sisi tuna wastaafu kibao na tunaenda nao AFCONTimu karibia zote.
Zina Vijana.
Uganda nao vijana wadogo sana