Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Mkuu, game ya Algeria na Uganda uliicheki?
Wale watu wana mbinu sana
Mkuu issue sio mbinu issue magoli hata Madagascar jana walikua na mbinu nyingi sana ila tumewafunga nakwambia Algeria au Uganda akikutana na Madagascar wote wanachapwa
 
Hivi mnawaona Morocco wanachocheza yaan Morocco wapo 11 Kenya wapo 10 ila Morocco hakuna wanachofanya dakika 89 mpira unaenda kuisha
Leo wako chini ya kiwango.
Kenya wakishinda wataingia robo
 
Mkuu issue sio mbinu issue magoli hata Madagascar jana walikua na mbinu nyingi sana ila tumewafunga nakwambia Algeria au Uganda akikutana na Madagascar wote wanachapwa
Aisee tuna macho na mitazamo tofauti sana
 
Aisee tuna macho na mitazamo tofauti sana
Mimi naiona Stars ikichukua Kombe wewe unaona nini? Siiooni timu ya kuizuia Stars kuchukua Kombe mpaka sasa akija Kenya kichapo akija Uganda kichapo Algeria akija na yeye tunagonga tu nani mwingine ?
 
Back
Top Bottom