Wanacheza wanajikokota? Madagascar jana walikua wanacheza km wapo dakika ya kwanza piga boli mwanzo mwisho na hawachoki km wanacheza kwenye shimo la moto au bwawa la barafuMorocco wamebutua nje kabisa
Mpira umeishaDakika 1
Naungana na wewe. Morocco timu ya kawaida sana kama Mauritania tuMorocco hakuna timu hapo
Wa MoroccoNi waarabu hao hao
Mpira umeishaHii dakika moja hii ni ya kuwa nayo makini yasije jitokeza ya Angola