Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Hongereni taifa stars leo hamjaniangusha nimepata kahela supu.
Mie nipp mpaka mwisho wa mashindano bro....labda shemeji anifukuze 🤣🤣🤣🤣Hapo kweli ila game imeisha tumewagonga na hawa bado Afrika ya Kati naomba uniitie mzabzab Naona kakimbia
Nipo yakhe leta manenomzabzab uje hapa sasa tuongee vizuri sasa
Mie nipp vizuri kabisa mwanawane...nipo hapa nasubiria mechi ya kesho.mzabzab unajisikiaje huko ulipo?
Yule nae tatizo makadi ya njano...yaani huku kwa tatu malogo anamaliza mechi bila kadi lakini hapa caf aise hatawezaShida Leo kagoma hayupo
Morocco atamfanya mtu vibaya sanaKila la heri MOROCCO
nipigieni hao wajaruo
TanzaniaBingwa ni ??..
Dah mkuu umenifurahisha sana jaluo kesho kazi wanayoKila la heri MOROCCO
nipigieni hao wajaruo
Kombe likitua Tz itapendeza sana.Dah mkuu umenifurahisha sana jaluo kesho kazi wanayo
Kombe likitua Tz itapendeza sana.
Japo wanasiasa watadandia show ila kwa ''Utaifa" ni bora litue ukifanikiwa kuwatoa Morocco na Algeria umechukua kombe kitu ambacho ni very difficult
Kuna mtu nilikua naangalia naye mpira nikamwambia hiki kitu. Mi ndio maana namkubali yule mganda PeterAzam wanatufanya sisi kama matako yao watangazaji gani hawa!!??
Kwanzia hapa tukikaza linatua vizuri tuKombe likitua Tz itapendeza sana.
Japo wanasiasa watadandia show ila kwa ''Utaifa" ni bora litue Tz.
Sijui nani alishauri Hamza kucheza #6.Kwanzia hapa tukikaza linatua vizuri tu
Chamsingi viungo namba 6 aletwe mwengine wa kumsaidia kagoma akikosekana