Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,670
Azam wanatufanya sisi kama matako yao watangazaji gani hawa!!??
Wewe angalia mpira ukiona vipi hamia TBC kule napo wanaonyeshaAzam wanatufanya sisi kama matako yao watangazaji gani hawa!!??
Tunatoa hela zetu sheikh mfanye mtusikilize na sisiWewe angalia mpira ukiona vipi hamia TBC kule napo wanaonyesha
Wewe angalia mpira ShekheTunatoa hela zetu sheikh mfanye mtusikilize na sisi
Wanajipanga ..Madagaska wanaweka kambani
Wahindi koko wanagusa jamani. Tumewaotea tuu golinza mapema🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Na Tukizubaa watatupenya watupite mchana kweupeeeeWahindi koko wanagusa jamani. Tumewaotea tuu golinza mapema
Hawa wanajua boliWanajipanga ..