Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Jamaa wanajua wakitupelekesha wanaweza kutufunga
 
Hawa hawatufungi boli wanalicheza na sisi boli tunalicheza wao kinachowabeba ni kasi ila wote gozi linatembea hawa tunawafunga
Kama hawa wana kasi ambayo hatuwezi imudu ni vipi kama tukikutana na Morocco, Algeria, DR Congo au Nigeria na Zambia?
 
Kama hawa wana kasi ambayo hatuwezi imudu ni vipi kama tukikutana na Morocco, Algeria, DR Congo au Nigeria na Zambia?
Tukiwapiga la 3 tu kasi yote kwisha subiri uone
 
Sub 2

Shekhan katoka kaingia Saaduni hapa sasa ndio kocha kafanya jambo
 
Back
Top Bottom