Wee umeona wanavyo nyumbulika wahindi koko...boli linatembea jamaa wanatandaza kandanda.Tukiwaongeza la 3 utawaona hawana boli wanalocheza
Tunawafunga hawa subiri uoneWee umeona wanavyo nyumbulika wahindi koko...boli linatembea jamaa wanatandaza kandanda.
Ila wanawane sie inabidi tuongeze watu maana hapa sasa sub muhimu sana...huwezi rudisha squad hiyo hiyo kila mechi bila changes
Hili kundi sie tunatakiwa chukuwa point zote maana tumepewa timu za kawaida sanaTunawafunga hawa subiri uone
Dakika 70Hili kundi sie tunatakiwa chukuwa point zote maana tumepewa timu za kawaida sana
Dakika 71Updates muhimu wakuu tupo kizani wengine
Mguu unamletea shida sanaToa Nzinze amechoka
Asante mkuuDakika 71
Tanzania 2-1 Madagascar
Kwa hiyo uwanjani ndio kwa daktari?Mguu unamletea shida sana