kwanini hachezi sasa?Kagoma nafasi yake inaonekana kabisa
Tukiwaongeza la 3 tu kasi yote inakwisha yaan tukiwagonga la 3 tu ndio mwisho waoHivi vijamaa vinacheza soka la kasi balaa
Hajapangwa leo angeingia angekula umemekwanini hachezi sasa?
kwanini?Hajapangwa leo angeingia angekula umeme
Tunawagonga hawa km sio 3 basi 4 kuna wachezaji wanacheza km wamefungwa miguu Shekhan sub yake imekuaje sijui hayupo mchezoni Moroko aangalie cha kufanyaNilisema hawa wahindi koko watatusumbua
Ana njano 2kwanini?
Ndio hayupo sasa kiungo mkata kuni hayupo ila game hii yetu kabisa tushindwe wenyewe tuPale kati pale, Kiungo imekufa....Kagoma alikuwa na umuhimu mkubwaa
Wewe angalia mpira sio unaangalia mashati aangalia ushindiHuko kambini hakuna ushauri wa mavazi,hilo Shati la Hemedi Morrocco kama fungo la mashine ya unga, inasikitisha 😀
Tunawagonga hawa mpira ukiisha njoo hapa tuongee vizuriWahindi koko wanagusa jamani. Tumewaotea tuu golinza mapema
Tunawafunga hawa nyinyi subirini muoneHapa Kichwa cha mwenda wazimu kinarudi pole pole!!
akiwa na njano mbili haruhusuwi kucheza?Ana njano 2
Hawa hawatufungi boli wanalicheza na sisi boli tunalicheza wao kinachowabeba ni kasi ila wote gozi linatembea hawa tunawafungaNa Tukizubaa watatupenya watupite mchana kweupeeee
Ngoja tuone