Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Sasa kafunga goli Maema, mjini hatutakaa kwa kelele za makolo
Acha kabisa hizo kelele sio kidogo halafu goli la kawaida tuSasa kafunga goli Maema, mjini hatutakaa kwa kelele za makolo
Yan hata lingekua goli la Tap In bado tusingekaaAcha kabisa hizo kelele sio kidogo halafu goli la kawaida tu
Sio mchezo kabisa hata ingekua penalty tuYan hata lingekua goli la Tap In bado tusingekaa
😃😃😃Sio mchezo kabisa hata ingekua penalty tu
Usicheke ndio hivyo yaan