Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hii penalti kama nyepesi sana any way mcheza kwao hutuzwa
 
1000234481.jpg

Hili kundi bado kazi ipo.
 
Ugandaaaaaaaaa🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
 
64'

Uganda 2

Niger 0

Mpira unaendelea
 
Dakika ya 70 .
Uganda bado Wanaongoza 2 -0
 
Back
Top Bottom