August 12Leo mechi gani
17:00 – Senegal VS Congo
20:00 – Sudan VS Nigeria
Zanzibar
August 12Leo mechi gani
Matches to come utapata jibu lako endapo tukikutana nao nitakuja kukukumbushawametuzidi nini
Hapo kwa sudan vs nigeria nani yuko vizuri?August 12
17:00 – Senegal VS Congo
20:00 – Sudan VS Nigeria
Zanzibar
Sudan wako poa sana utakuja kukubaliana na mimi baadaeHapo kwa sudan vs nigeria nani yuko vizuri?
Sijakuelewa mdau!!Binafsi sielewi tatizo ni viwanja vichache ama sijui ni nini?! Inakuaje leo kuna kundi washacheza mechi tatu tatu halafu kundi jingine wana mechi moja moja?! Halafu timu inakaa week nzima kusubiri mechi nyingine?! Taifa Stars ilicheza Jumamosi na itacheza Jumamosi tena mechi ya mwisho ya makundi. Mpangilio mbovu ama vipi?! Timu ziko 19 tu afu michuano inachukua karibia mwezi wakati AFCON, World Cup hua tunaona timu ni nyingi but ndani ya mwezi mmoja tu michuano inafanyika na kuisha. Nadhani hii itakua test nzuri kujiandaa na AFCON 2027.
Afcon iliyopita iko kwa Côte d'IvoireNilitaka kusema hata Morocco pia ingawa nadhani wameokotaokota wa Wydad, As Far, Raja na Berkane ila siyo kivile.
Nadhani kwa ukanda ule Algeria ndiyo yuko serious zaidi. Anaona waarabu wenzake wanamfunika sana siku hizi, anakitaka kikombe.
Hawa Senegal hawajui mpira
Hii imekaajeHalafu hapa anatoka mmoja tu.