Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Wacha nimshangilie banasemeji Ki AzizπŸ™‡πŸ™‡

Cc Smart911
Kwa hali ilivyo ana hali mbaya.

Wanapata kona Dakika ya 6 hii.
Inapigwa hapa kipa ana panchi...
Kuna tukio linatokea hapa watu wadai tuta.
 
Kuna mchezaji wa Burkinabe anatolewa nje kwa machela.
Kupatiwa huduma zaidi.
Mpira unaendelea na ni dakika karibia ya 10
 
Bukinabe wamepika tiktak matata sana.
Imegoma.
Mpira uko kwao sasa, wanashambuliwa.
0-0
 
Game za Leo
August 13
17:00 – Madagascar πŸ‡²πŸ‡¬ vs πŸ‡¨πŸ‡« Central African Republic
20:00 – Mauritania πŸ‡²πŸ‡· vs πŸ‡§πŸ‡« Burkina Faso
Wachovu wana heza...hii mechi ya mairitania na burkina utaka ata kulala jameni. Mpira hauna kasi, kucontrol mpira tabu...hawa walifikaje huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…