Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Wachovu wana heza...hii mechi ya mairitania na burkina utaka ata kulala jameni. Mpira hauna kasi, kucontrol mpira tabu...hawa walifikaje huku?
Burkinabe wanapiga mashuti
 
Goooooooal vijana wa Traore chalii
 
HT
Burkinabe 0
Mauritania 1
 
Mechi ishakua mbaya hii😴😊😴😴💤💤💤💤💤💤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…