Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,156
Game ya kwao hiiZambia wanapoteza sana nafasi, kama hiyo ya Bwalya
Game ya kwao hiiZambia wanapoteza sana nafasi, kama hiyo ya Bwalya
Imeisha 3-1, zambia byebye
JmosiMech lini
Waafrica sie manyani ya kutupwa sasa wee timu hii ya zambia kweli ya kumpa babu kaji hokeaaa kuifundisha. Kweli wazungu wanajiokotea mihela ya bure tuu kwetu. Timu wachezaji hata mie naweza walamba chengaWanatakiwa wachapwe fimbo 10 wakirejea kwao
😃😃😃 umeumia sana ndugu yangu!!Waafrica sie manyani ya kutupwa sasa wee timu hii ya zambia kweli ya kumpa babu kaji hokeaaa kuifundisha. Kweli wazungu wanajiokotea mihela ya bure tuu kwetu. Timu wachezaji hata mie naweza walamba chenga
Leo Unashabikia ipi???Angolaaaa....
Twende na majirani DRCNgoja tuwacheki Angola vs DRC