Inauma sana maana unaona kabisa yule kocha kikipita upepo wa kisulisuli unambeba sasa wa nini na wakati kwenye nchi kuna makocha wazawa waende kupata experience.
Wajinga tuu hawa wanataka kupiga hela tuu. Ukiajiri kocha wa ulaya unaweza mlipa $100,000 per month na wananchi wasihoji ila mzawa useme umpe hiyo hela kila mtu anaruka juu.
Usenge huu walifanyaga ivory coast wakampa kazi sven ericson dollar million 3 kwa kazi ya miezi mitatu na apartment london. Na litimu halikufanya vizuri.
Trump ana haki ya kusema sie manyani maana tuna mambo ya kufikiri na mikunduz yetu