Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Wanatakiwa wachapwe fimbo 10 wakirejea kwao
Waafrica sie manyani ya kutupwa sasa wee timu hii ya zambia kweli ya kumpa babu kaji hokeaaa kuifundisha. Kweli wazungu wanajiokotea mihela ya bure tuu kwetu. Timu wachezaji hata mie naweza walamba chenga
 
Jamani sasa ndio tuangaliebungi hapa. Huyu namba 7 wa angalo ni balaaa anawapindua watu kinoma.
Lets wach and enjoy wat promises to be an exciting match....
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ umeumia sana ndugu yangu!!
 
Jamani sasa ndio tuangaliebungi hapa. Huyu namba 7 wa angalo ni balaaa anawapindua watu kinoma.
Lets wach and enjoy wat promises to be an exciting match....
Kabisa, kila timu inataka ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…