Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

59'
Game On
1-0
 
Tunapata kona, inapigwa na Feitoto inakuwa butu.
Mpira unaendelea
1-0
 
Soppu aieee
 
60'
Kona nyingine inapigwa inakuwa butu tena.
Umakini unahitajika sana
 
Too much off target
 
Hawa tusipowapiga saa hizi sidhani kama tutawapiga tena
 
Tunacheza Mpira vizuri
Shida kwenye 18 Tunatumia Nguvu kuliko Akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…