Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

FT
Yeah!! Mbinu
 
Alafu yule wingaback wa siku ile aliyeleta magoli mbona leo hakuanza mechi ? Angola beana nao
 
Mambo vipi? Mnyama!!
Umeona Utopolo wanavyogombana ?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Maccm
Basi tunawaangalia tuu
Mafisadi wakubwa hao...
Yani waliposema Yanga itachukua makombe miaka 10 ni kweli kwa namna hiyo...huyo gsm ataendelea kudhamini timu hata 10 hakuna wa kumtoa hapo...
Ila Yanga Bingwa huwa haiji hivi hivi anajua nyuma ya pazia
 
Kabisa.
Mahuni sana, yanaharibu mpira wa Tz
 
Siyo kipimo sahihi. Nchi nyingi zimeleta vikosi B na C ila AFCON wanaleta vyuma vyenyewe. Sisi tutabaki kuwategemea wastaafu wetu hawahawa miaka 2 ijayo maana hatuonyeshi mpango wa kuwaibua wachezaji wapya.
Kombe letu la kutamba sasa na sisi[emoji2]
 
Acha majungu tupe updates za leo au ndo bize kusubiria kuangalia wanaume πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ–€πŸ’ͺ wakikiwasha Leo saa moko😁😁😁😁?????

Cc Smart911
Guinea wajinga sana
 
89'
Guinea 1
Algeria 1
Game On...
 
Acha majungu tupe updates za leo au ndo bize kusubiria kuangalia wanaume πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ–€πŸ’ͺ wakikiwasha Leo saa moko😁😁😁😁?????

Cc Smart911
Wanaume Which??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…