Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kipa wa Uganda anatakiwa kuwa makini mimi naona kama kila mpira anaukimbilia itakuja kumcost
 
Dakika ya 27
RSA 0
Uganda 0
 
Goooooooooooal chumaaaaaaa
 
Kipa wa Uganda alikuwa anajifunga hapa.
Umakini unatakiwa zaidi
 
Good careful Ugandan goal keeper
 
HT
South Africa 0
Uganda 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…