Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Goli likifungwa linakuwa ni mafanikio ya samia na serikali ya CCM 🀣🀣🀣🀣
Wenzetu ni wazalendo wa kweli kwa nchi zao.
Kenya na Uganda wao hata kwenye maandamano huwa wanatoka wote.
Na kwenye ball hivyo hivyo wanauzalendo wa kweli, achana na sisi tumejawa na ujinga na uoga
 
Sure 100%
 
Halafu hii RSA Mbona hiki kikosi sio kile tulichokizoea cha akina Mokoena,

Au wamepumzisha wachezaji kwa ajili ya AFCON Naona kama kinawaramba na safari yao inatamatika hapa kwa hivi vibeki uchwara
 
Wamedharau.
Ligi yao inaendelea
 
Uganda wanahitaji draw yoyote kusonga mbele
 
Uganda wanatakiwa wawe makini na jinsi wanashikilia kamba
 
Chuma cha Pili South Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…