Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uganda akitulia anapata goli tena mapema tu, hawa South Africa wanafungika
 
Yuko uwanjani, nani anamkumbatia mzee?
Au hawa ni wale wanaoajiri vibinti kwa ajili ya mzee
 
South Africa wakipita hapa wataosha sana
 
Si mmeona pasi wanazopiga hawa wa Ug?
Hazina macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…