Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ipo brotherMna airport hapo ya kushusha gulf stream yangu lakini
Ipo brotherMna airport hapo ya kushusha gulf stream yangu lakini
Noma sana nilishawakatia tamaa....Hatari mwanawane
Eee wameidhulumu SA....Hujafurahia?
Sijalewa best nataka nimvuruge na yy huyo kivuruge mpenda utelezi...Aisee ushalewa best
Hyo penalt ya mwisho labda mm ndo sijui mpira niendelee tuu kushangilia...mbona haku intend kugusa mpira?Wamedhulumiwa wapi?
Mbona maamuzi yalikuwa yako wazi kabisa?
Ndio napeleka utelezi hapa na private jet nikupitie wapi mwanathimba?Ww utelezi wako wa nyuma umetunuku? 😇😇😇😇
Mwenyewe lilivyoingia la tatu nikajua imeisha hiyoNoma sana nilishawakatia tamaa....
Si umeona ground waganda wakaanza kuondoka .. aseee.....Mwenyewe lilivyoingia la tatu nikajua imeisha hiyo
Hyo penalt ya mwisho labda mm ndo sijui mpira niendelee tuu kushangilia...mbona haku intend kugusa mpira?
Nyie banaaaa hata aje Messi hamtakumbali...kaupiga mwingi mnooNdio napeleka utelezi hapa na private jet nikupitie wapi mwanathimba?
Ila huma maema mmepigwa ndugu mwanathimba hamna mchezaji hapo kumzidi pacome
Wale watasimuliwa kwa kweli hawakufika mbali watakiwa walisikia mayoweSi umeona ground waganda wakaanza kuondoka .. aseee.....
Basi tuseme wamekufa kishujaaaPlayer made himself unnecessary bigger thus intentinally raising his arm to increase probability of blocking the ball illegally