Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hyo penalt ya mwisho labda mm ndo sijui mpira niendelee tuu kushangilia...mbona haku intend kugusa mpira?
Alitanua mikono, Alitakiwa kuificha au kuirudisha karibu na kiwiliwili

Ukirudia kuangalia utaona alitanua hata kama hukukusudia kwa sharia za FIFA iyo ni penalti.
 
Waganda wanapenda mpira asee Nilikuwaga nasikiaga mtu kutoka uganda amejinyonga kisa Arsenal nilikuwa sielewi now I know
 
Siku zote jirani Uganda the cranes wamekuwa wakitupa game bora kuliko zote kwenye haya mashindano. 1: Uganda v Guinea 2: South Africa v Uganda.
Naunga mkono hoja
 
Dah jaman naomba kuuliza,mbona huku nyumbani tz sionagi vibe la mashabiki uwanjan labda timu iwe inaongoza goli moja ndo watapiga kelele kidogo.
But uganda leo naona washapigwa 2-1 lakini uwanja ulikuwa na vibe la hatari lililowapandisha mizuka wachezaji na kufanya maajabu. SO ni kwamba tunapenda timu hatupendi mpira? au ni nini
 
Back
Top Bottom