Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Dakika za Jioni, msenegal anakula umeme
 
Istoshe tu kusema Senegal ni taifa la mpira, wanajua sana kuzalisha vipaji vya kweli vya mpira...

Hebu angalia hawa madogo wanavyoubonda, yaan wanacheza mpira unaeleweka, kwanzia positioning, passing, control, running... yaani wanafanya kila kitu kwa namna kinavyopaswa kufanywa.

Na hawa wachezaji wote ni wapya, hakuna hata mchezaji mmoja ambaye alikuwemo kwenye kikosi chao kilichochukua ubingwa michuano iliyopita kule Algeria....

Karibu kila mchezaji unayemuona hapo hii ndio michuano mikubwa ya kwanza, na hakuna ambaye yuko above 24.

Yaan wanaonekana ni watu ambao wameandaliwa kuwa professional players!!.. kweli shirikisho lao la linajua linachokifanya.
 
Sahihi
 
FT
Sudan 0
Senegal 0

Sudan to Robo Fainali!!
 
1000247889.jpg
 
Mungu ibariki Kenya 🇰🇪
 
Back
Top Bottom