Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

1000252065.jpg

Kivumbi Leo...
 
Wazee tunatoboa leo? Wakenya wamenunua tiketi zetu eti ili tukifika uwanjani tukute kumejaa huku uwanja ukiwa empty
 
Kenya 🇰🇪 vs Madagascar 🇲🇬

All the Best Kenya
 
Robo fainali imechangamka sana hii
 
Dakika ya 05
Kenya 0
Madagascar 0
Mpira unaendelea
 
Sio rahisi.
Anyway ngoja tuone
Hawa Kenya wanacheza "armature football". Wanajichezea tu kwa hisia kama wamasai.

Aina hii ya Mpira binafsi nilicheza 1990's nikichezea Reli Morogoro.
 
Back
Top Bottom