Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Yeah wacha tusubiri 90' ziamueSio rahisi.
Anyway ngoja tuone
Yeah wacha tusubiri 90' ziamueSio rahisi.
Anyway ngoja tuone
KabisaAngefungwa
Madagascar wamechoka sana yaan miili yao haipo mchezoni kabisaKenya hadi sasa wanaumudu mchezo
Madagascar nao wanakomaaga ujueKenya hadi sasa wanaumudu mchezo
Wanakaba kwa mkupuo sema Madagascar leo hawana ile mikimbio na wanapoteza mipira balaaMbinu ya Kocha wa Kenya, iko hivyo.
Wanakaba.
Hapana. Hawa Kenya wamekuja na nguvu ya soda. Ni vyema Madagaska wacheze hivi hivi kwa utulivu hususani kwa dakika hizi 15 za mchezo. Wana absorb na kuicontain pressure ya Wakenya kwa sasa.Madagascar wamechoka sana yaan miili yao haipo mchezoni kabisa
Yeah. Game lamoto kinoumaaKiungo imekabwa sana, wanaishia kucheza back pass