Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hata ingekuwa siku 1, kocha mzuri anaonekana. Kwani hadi kufikia hatua hii, wamefunga magoli mangapi na ni magoli ya namna gani?
Jamaa ni too defensive! Utaona hapo wakifunga goli, hawatajali ni dakika ya ngapi, watapack basi mwanzo mwisho...
Kuna siku alisema amefundishwa na Morinyo namna nzuri yakukaba!
 
Dakika ya 40
Kenya 0
Madagascar 0
Mpira unaendelea.....
 
Dakika ya 45, nyongeza ni 1 tu
Kenya 0
Madagascar 0
Mpira unaendelea
 
Back
Top Bottom