G
guest-1787677352
Guest
Huyu kocha wao Mccarthy bora hata Morocco wetu. Hawa wakenya hawafikishi hata pasi tatu mkuu. Hamna kitu hapa.Mbinu ya Kocha wa Kenya, iko hivyo.
Wanakaba.
Huyu kocha wao Mccarthy bora hata Morocco wetu. Hawa wakenya hawafikishi hata pasi tatu mkuu. Hamna kitu hapa.Mbinu ya Kocha wa Kenya, iko hivyo.
Wanakaba.
Hata Mimi najua hii game Madagascar wanashinda ila wakifanya mistake wakafungwa ndio imetoka hioHapana. Hawa Kenya wamekuja na nguvu ya soda. Ni vyema Madagaska wacheze hivi hivi kwa utulivu hususani kwa dakika hizi 15 za mchezo. Wana absorb na kuicontain pressure ya Wakenya kwa sasa.
Binafsi nampa asilimia 75 ya Madagascar kushinda hii mechi.
Kenya watachoka mapema Madagascar Ndio zao adoado na kimzaha mzaha Kenya hawatoaminiHapana. Hawa Kenya wamekuja na nguvu ya soda. Ni vyema Madagaska wacheze hivi hivi kwa utulivu hususani kwa dakika hizi 15 za mchezo. Wana absorb na kuicontain pressure ya Wakenya kwa sasa.
Binafsi nampa asilimia 75 ya Madagascar kushinda hii mechi.
Back Pass nyingi nyingi km Taifa StarsYeah. Game lamoto kinoumaa
Ngoja tuone ila wasifungwe tuKenya watachoka mapema Madagascar Ndio zao adoado na kimzaha mzaha Kenya hawatoamini
Kwa mimi wamecheza vizuri hadi sasa tena kwa ukomavu mkubwa sana. Kenya wanacheza butuabutua kama Manchester ya Wami Sokoine Umasaini.Hata Mimi najua hii game Madagascar wanashinda ila wakifanya mistake wakafungwa ndio imetoka hio
YeahNgoja tuone ila wasifungwe tu
Umeona sasa wanasogea na kufika langoni mwa Kenya. Dakika 15 za kwanza ilikuwa sawa kuwahandle vile wakenya.Kenya watachoka mapema Madagascar Ndio zao adoado na kimzaha mzaha Kenya hawatoamini
Naona sasa Madagascar damu ishachemka misuli ishawaka motoKwa mimi wamecheza vizuri hadi sasa tena kwa ukomavu mkubwa sana. Kenya wanacheza butuabutua kama Manchester ya Wami Sokoine Umasaini.
Amekaa na Timu Muda gani ?Huyu kocha wao Mccarthy bora hata Morocco wetu. Hawa wakenya hawafikishi hata pasi tatu mkuu. Hamna kitu hapa.
Hapana. Kwa sisi tunaocheza na tunaojua mpira ilikuwa sawa kucheza hivyo na timu iliyopo nyumbani na inayoshangiliwa sana.Naona sasa Madagascar damu ishachemka misuli ishawaka moto
Ngoja tuone itakuajeHapana. Kwa sisi tunaocheza na tunaojua mpira ilikuwa sawa kucheza hivyo na timu iliyopo nyumbani na inayoshangiliwa sana.